Country: Dar es Salaam
Eneo hasa ni BUYUNI.
Kiwanja kina ukubwa mzuri,
SQM.700.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Hii nyumba ipo wastani wa Mita 100 tu kutoka Barabara ya Lami.
Vyumba 3 ( masta 1) Pia kuna Sebule, Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________jj
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Eneo hasa ni BUYUNI. Kiwanja kina ukubwa mzuri, SQM.700. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Hii nyumba ipo wastani wa Mita 100 tu kutoka Barabara ya Lami. Vyumba 3 ( masta 1) Pia kuna Sebule, Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. ...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-yenye-vyumba-3-inauza-bank-chanika/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.