Country: Dar es Salaam
CHEKECHQ ni eneo ambalo lipo umbali wa wastani wa kilomita 21 kutoka Feri. Hii ni nyumba nzuri ambayo ipo ndani ya Fensi. Ina jumla ya vyumba vinne 4, ambapo kimoja 1 ni Masta. Pia kina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Ukubwa wa Kiwanja ni SQM. 423. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. ____________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000 (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ____________mskv Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
CHEKECHQ ni eneo ambalo lipo umbali wa wastani wa kilomita 21 kutoka Feri. Hii ni nyumba nzuri ambayo ipo ndani ya Fensi. Ina jumla ya vyumba vinne 4, ambapo kimoja 1 ni Masta. Pia kina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Ukubwa...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-yenye-vyumba-vinne4-kigamboni-chekechea/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.