Country: Dar es Salaam
Eneo ni PUGU KAJIUNGENI. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Nyumba ya kwanza: Ina vyumba vya kulala 3 (Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Nyumba ya pili: Ina vyumba vya kulala 2 (Masta 1) Sebule na Choo cha Familia ndani. Kila nyumba inajitegemea huduma za Umeme na Maji. Pia kuna Fremu za Maduka 3 na Kisima cha Maji na Huduma za Maji ya Dawasco ipo pia. Ni jirani na Barabara ya Lami na nyumba ina AC na Garden pia. ____________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000 (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ___________tp Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali
Eneo ni PUGU KAJIUNGENI. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Nyumba ya kwanza: Ina vyumba vya kulala 3 (Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Nyumba ya pili: Ina vyumba vya kulala 2 (Masta 1) Sebule na Choo cha Familia...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-mbili-maduka-3-kiwanja-sqm-2000-pugu/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.