Country: Dar es Salaam
S.30 MILIONI, MSONGOLA. Hapa ni katikati ya MSONGOLA NA KIVULE. Daladala unapanda moja tu kufika Mjini. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 350. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Nyumba ina vyumba 4 vya kulala ( Masta 1) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. ___________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000 (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ___________mskv Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
S.30 MILIONI, MSONGOLA. Hapa ni katikati ya MSONGOLA NA KIVULE. Daladala unapanda moja tu kufika Mjini. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 350. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Nyumba ina vyumba 4 vya kulala ( Masta 1) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Sto...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-ya-vyumba-4msongola-kati/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.