Loading…
Views:
TZS30,000,000.00

NYUMBA, MSINGI NA MADUKA, INAUZA NA BANK, PUGU.

0 0 Reviews
Posted on 21 April 2025

Country: Dar es Salaam

  • Bedrooms: more than 4
  • Bathrooms: more than 3
  • Parking: Parking behind Security Gates, Secure Parking
  • Type of property: Apartment , House , Commercial Property
  • Available for: Sale

Description:

Hapa ni PUGU KINYAMWEZI.

WAHI HII BEI IMEPUNGUZWA.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 700.

Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

Vyumba 3 (Masta 1)

Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,

Store na Choo cha Familia ndani.

Vilevile kuna Msingi wa Ghorofa ya Sakafu mbili,

Banda la Mlinzi na Fremu za Duka 2.

Pia kuna Msingi wa Ghorofa ya Sakafu mbili.

Imekusudiwa vyumba 4.

Na Maduka ya Biashara 2.

Nyumba ipo ndani ya Fensi na jirani na Barabara ya Lami.

___________

ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuona ni Tshs.50,000.

(Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu)

Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

___________jj

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS30,000,000.00

NYUMBA, MSINGI NA MADUKA, INAUZA NA BANK, PUGU.

0 0 Reviews
Posted on 21 April 2025
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top