Country: Pwani
Hapa ni KILIMAHEWA,
Wastani wa kilomita 3 kutoka LOLIONDO pale Kibaha.
Nauli ya Boda ni Tshs.1,000.
Viwanja vipo 12.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Panajengeka kwa kasi.
Huduma za Umeme na Maji zipo jirani,
Na njia ni nzuri.
Ukubwa:
SQM.400 Tshs.7 Milioni.
SQM. 500 Tshs.8 Milioni.
Kuunganisha ruksa.
Wahi ujichagulie chako mapema.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________Wkm
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Hapa ni KILIMAHEWA, Wastani wa kilomita 3 kutoka LOLIONDO pale Kibaha. Nauli ya Boda ni Tshs.1,000. Viwanja vipo 12. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Panajengeka kwa kasi. Huduma za Umeme na Maji zipo jirani, Na njia ni nzuri. Ukubwa: SQM.400 Tshs....
https://advertisingdar.co.tz/ad/viwanja-vizuri-vinauzwaloliondo-kibaha/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.