Loading…
Views:
TZS165,000,000.00

NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU (3) KINYEREZI/KIBAGA.

0 0 Reviews
Posted on 17 April 2025

Country: Dar es Salaam

  • Parking: Parking behind Security Gates, Secure Parking
  • Type of property: House
  • Available for: Sale

Description:

Dneo ni KINYEREZI KIBAGA. 

Kiwanja kina ukubwa wa SQM.400.

KIMEPIMWA (HATI bado kutoka)

Ipo umbali wa mita 500 kutoka Barabara ya Lami. 

Vyumba 3( Masta 1) Sebule,Jiko Dining-room,

Store na Choo cha Familia ndani. 

Ni nyumba nzuri ya kisasa ya KUHAMIA. 

Ina Tiles,Gypsum,Dirisha za Vioo, 

AC na Parking yakutosha yenye Paving. 

__________

ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuina ni Tshs.50,000. 

(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. 

__________mpg


Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali. 




Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS165,000,000.00

NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU (3) KINYEREZI/KIBAGA.

0 0 Reviews
Posted on 17 April 2025
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top