Country: Ruvuma
Hili Shamba lipo umbali wa mita 300 tu kutoka Barabara kuu ya NJOMBE/SONGEA.
Udongo wenye Rutuba.
Kizuri zaidi lipo upande wa Bonde zuri.
Zao la Mpunga linastawi na linamea vizuri sana hapa.
Ndani ya Shamba kuna Ghala la kuhifadhi Mazao.
Na nyumba ya Wafanyakazi yenye vyumba 3.
Umiliki ni HATI YA KIMILA.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tsh.300,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________zw
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Hili Shamba lipo umbali wa mita 300 tu kutoka Barabara kuu ya NJOMBE/SONGEA. Udongo wenye Rutuba. Kizuri zaidi lipo upande wa Bonde zuri. Zao la Mpunga linastawi na linamea vizuri sana hapa. Ndani ya Shamba kuna Ghala la kuhifadhi Mazao. Na nyumba ya...
https://advertisingdar.co.tz/ad/shamba-la-mpunga-ekari-130-madaba-ruvuma/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.