Loading…
Views:
TZS55,000,000.00

KIWANJA CHENYE HATI,SQM.400, KIGAMBONI-DARAJANI.

0 0 Reviews
Posted on 13 April 2025

Country: Dar es Salaam

  • Parking: Secure Parking
  • Type of property: Plot
  • Available for: Sale

Description:

SASA HAPA SIJUI MUNGU AKUPE NINI ZAIDI?

Hiki Kiwanja kipo jirani na BAHARI.

Upande mwingine kinangalia Barabara ya Lami.

Ukubwa ni SQM.400.

Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.

Hapa ni Mjini kabisa.

Punguza maswali,

Wahi njoo uone ili ufanye maamuzi ukiwepo eneo husika, UTACHELEWA.

_____________

ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuona ni Tshs.50,000.

(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

_____________mpg

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS55,000,000.00

KIWANJA CHENYE HATI,SQM.400, KIGAMBONI-DARAJANI.

0 0 Reviews
Posted on 13 April 2025
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top