Country: Dar es Salaam
Hapa ni KWA-MSUGULI, MBEZI/KIMARA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800.
MKATABA WA MAUZIANO.
Kipo tambarare na eneo ni rasmi kwaajili ya MAKAZI.
Ipo umbali wa kilomita 2.5 kutoka Barabara ya Morogoro.
Hii nyumba inahitaji MABORESHO KIDOGO ILI KUWEZA KUHAMIA vinginevyo usiwe na makuu.
Ni Muezeko wa sasahivi (CONTEMPORARY)
Vyumba 4 vya kulala ( 3-kila chumba na Choo chake)
Nyumba ipo ndani ya Fensi na Umeme na Maji huduma zipo.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________yhyn/wn
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Hapa ni KWA-MSUGULI, MBEZI/KIMARA. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800. MKATABA WA MAUZIANO. Kipo tambarare na eneo ni rasmi kwaajili ya MAKAZI. Ipo umbali wa kilomita 2.5 kutoka Barabara ya Morogoro. Hii nyumba inahitaji MABORESHO KIDOGO ILI KUWEZA K...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-ya-vyumba-vinne-4-kwa-msugulimbezi/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.