Country: Dar es Salaam
Hii eneo lipo KILUVYA ya-upande wa Dar.
Kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Lipo ndani ya Fensi na Geti lake.
Ndani kuna nyumba ya kizamani yenye vyumba 3 (Masta 1) Sebule,Jiko na Choo cha Familia ndani,
Na Pagale lililoishia kwenye Linta ambalo lenyewe lina jumla ya vyumba 5 na
kila Chumba na Choo chake ndani.
Mtaa ni tulivu.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mpg
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Hii eneo lipo KILUVYA ya-upande wa Dar. Kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Morogoro. Lipo ndani ya Fensi na Geti lake. Ndani kuna nyumba ya kizamani yenye vyumba 3 (Masta 1) Sebule,Jiko na Choo cha Familia ndani, Na Pagale lililoishia kwenye Linta amb...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-mbili-kiwanja-sqm-3000kiluvya-kwakomba/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.