Loading…
Views:
TZS99,000,000.00

NYUMBA YENYE HATI, VYUMBA 3,GOBA NJIA NNE

0 0 Reviews
Posted on 10 April 2025

Country: Dar es Salaam

  • Parking: Parking behind Security Gates, Secure Parking
  • Type of property: House
  • Available for: Sale

Description:

Ni umbali wa Mita 40p tu kutoka Barabara ya Lami. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 738. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Vyumba 3 (Kila kimoja na Choo chake) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Pia kuna Servant's Quarter ya Chumba kimoja. ____________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ____________jj   Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.    

Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS99,000,000.00

NYUMBA YENYE HATI, VYUMBA 3,GOBA NJIA NNE

0 0 Reviews
Posted on 10 April 2025
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top