Country: Dar es Salaam
Hi nyumba ni ya kwenye kona. Uoande mmoja unaiangalia Barabara ya Uhuru. Kuna nyumba mbili hapa. Moja ni ya GHOROFA na nyingine ni NYUMBA ya CHINI. Pia kuna MADUKA/FREMU 7 za Biashara. Jumla hapa Nyumba na Maduka zinaingiza jumla Tshs.3.8 Milioni kwa Mwezi. Hapa panafaa kuweka Jengo la Biashara kama Maduka, Maofisi, Hotel au Apartments. Mnunuzi Tafadhali Wasiliana nami moja kwa moja. ____________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ____________llk Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Hi nyumba ni ya kwenye kona. Uoande mmoja unaiangalia Barabara ya Uhuru. Kuna nyumba mbili hapa. Moja ni ya GHOROFA na nyingine ni NYUMBA ya CHINI. Pia kuna MADUKA/FREMU 7 za Biashara. Jumla hapa Nyumba na Maduka zinaingiza jumla Tshs.3.8 Milioni kwa...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-ya-biashara-tshs-520-mil-ilala-bungoni/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.