Country: Dar es Salaam
KITONGA ipo MSONGOLA,
Njia ya MBAGALA CHAMAZI kuelekea CHANIKA.
Hii ni nyumba mpya ya kisasa.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,000.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Vyumba 7 ( 4 Vyoo ndani) pia kuna Sebule 2, Dining-room,Store na Choo cha Familia.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
__________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
KITONGA ipo MSONGOLA, Njia ya MBAGALA CHAMAZI kuelekea CHANIKA. Hii ni nyumba mpya ya kisasa. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,000. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Vyumba 7 ( 4 Vyoo ndani) pia kuna Sebule 2, Dining-room,Store na Choo cha Famili...
https://advertisingdar.co.tz/ad/ghorofa-mpya-yenye-swiming-pool-room-7-kitonga/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.