Country: Dar es Salaam
Lipo Mtaa mpana na wenye mzunguuko wa watu.
Jirani na Polisi MABATINI.
Ndani kuna Makabati ya Vioo mazuri ya gharama,
Pamoja na Dawa za Binadamu.
Kodi ya PANGO unayorithi hapa ni ya Miezi 5.
Ikiisha hiyo utaanza kulipia Tshs.130,000/Mwezi kwa Mwenyenyumba.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
__________wn
Lipo Mtaa mpana na wenye mzunguuko wa watu. Jirani na Polisi MABATINI. Ndani kuna Makabati ya Vioo mazuri ya gharama, Pamoja na Dawa za Binadamu. Kodi ya PANGO unayorithi hapa ni ya Miezi 5. Ikiisha hiyo utaanza kulipia Tshs.130,000/Mwezi kwa Mwenye...
https://advertisingdar.co.tz/ad/duka-la-dawa-baridi-linauzwa-kijitonyama/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.