Country: Dar es Salaam
Ni njia ya Goba NjiaNne kueleke Madale.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500.
KIMEPIMWA (HATI HAIJATOKA BADO)
Imejengwa kisasa na ipo ndani ya Fensi yake.
Vyumba vya kulala 3 ( Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Ni njia ya Goba NjiaNne kueleke Madale. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500. KIMEPIMWA (HATI HAIJATOKA BADO) Imejengwa kisasa na ipo ndani ya Fensi yake. Vyumba vya kulala 3 ( Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. _...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-ya-vyumba-vitatu-3-muungano-goba/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.