Country: Dar es Salaam
Hii ni nyumba nzuri ya MAKAZI na BIASHARA.
Nyumba moja Ina vyumba 4.
Nyumba ya pili Ina vyumba 3.
Kila nyumba inajitegemea.
Pia kuna Frem za Maduka 4 (Zote zina Wapangaji)
Kuna Mgahawa na Mini-super Market.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ni umbali wa kutoka Barabara ya Bagamoyo.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________jj
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Hii ni nyumba nzuri ya MAKAZI na BIASHARA. Nyumba moja Ina vyumba 4. Nyumba ya pili Ina vyumba 3. Kila nyumba inajitegemea. Pia kuna Frem za Maduka 4 (Zote zina Wapangaji) Kuna Mgahawa na Mini-super Market. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Ni umba...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-2-maduka-4sqm-2600inauza-bank-boko/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.