Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 700.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Ni umbali wa mita 400 tu kutoka Barabara ya Lami.
Vyumba e vya kulala, Masta ni moja.
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________zw
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.