Unaweza kuingilia GOLANI Au KIMARA SUCA/TEMBONI.
Kwa kupitia Morogoro road ni umbali wa kilomita 3.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 4 (Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.