Kiwanja kizuri tambarare,
Kwenye Kona, na Mtaa tulivu uliojengeka vizuri.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Kipo umbali wa wastani wa kilomita 2 kutoka
MBUYUNI/BAGAMOYO ROAD
Na ni mita 400 tu kutoka Barabara ya Lami.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________Abl/D/L
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.