Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800.
KIWANJA KIMEPIMWA.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Hii nyumba ipo umbali wa kilomita 2.5 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Vyumba 4 ( 3 Vyoo ndani) Pia kuna Sebule,Jiko,
Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.