Kuna vyumba 3 (Masta 1) Pia Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Nauli kutoka Mbezi hadi hapo ni Tshs.2,000 tu.
Huduma za umeme na Maji zipo.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
__________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.