.Hii ni nyumba nzuri yenye jumla ya vyumba vya kulala 5.
Injitegemea na pia Ina Banda la chumba na Sebule nyuma.
Vilevile kuna Banda kufugia kuku na Frem ya Biashara pia.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.