Country: Dar es Salaam
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 5 ( Kila Chumba na Choo chake ndani)
Pia kjna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Hapa unapanda Gari moja tu hadi Mjini.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
__________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Vyumba 5 ( Kila Chumba na Choo chake ndani) Pia kjna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Hapa unapanda Gari moja tu hadi Mjini. ____________ ANGALIZO: Malipo ya Da...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-ya-vyumba-vitano-5-chanika-kwa-zoo/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.