Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 700.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hii ni nyumba ya kisasa YAKUHAMIA.
Ipo umbalivwa mita 300 tu kutoka Barabara ya Lami.
Vyumba 6 vya kulala ( 4 Vyoo ndani)
Pia kjna Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Hapa panafaa sana Familia kubwa inayohitaji utulivu na kuishi kisasa.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
_____________rr
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.