Country: Dar es Salaam
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
NI NYUMBA YA KUHAMIA.
Vyumba 3 ( Masta 1) Pia Ina Sebule, Jiko,
Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Vilevile kuna Banda kubwa la kufugia Kuku.
Mita 200 tu kutoka Barabara kuu ya Msumi.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
__________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. NI NYUMBA YA KUHAMIA. Vyumba 3 ( Masta 1) Pia Ina Sebule, Jiko, Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Vilevile kuna Banda kubwa la kufugia Kuku. Mita 200 tu kutoka Barabara ku...
https://advertisingdar.co.tz/ad/si-ya-kuikosa-vyumba-3-inauza-bankmbezi-msumi/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.