Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 450.
KIWANJA KIMEPIMWA.
(HATI Itatoka kwa Jina la Mnunuzi)
Hii nyumba Ina jumla ya Vyumba vinne (4)
Masta ni Moja.Pia Ina Sebule,Jiko,
Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
NI NYUMBA FLANI TAMU YAKUHAMIA.
___________
ANGALIZO:
Malioo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.