Kiwanja kina ukubwa wa EKARI 3.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Haya Majengo ni Mapya na yamekamilika.
Yalikusudiwa kuwa CHUO CHA WANAHABARI.
Kuna Madarasa,
Ofisi ya Utawala, Vyoo na Maktaba.
Unaweza kubadilisha Matumizi ukaweka Shule,
Hospital nk.
Eneo bado lina nafasi hivyo ukipenda kutanua ujenzi inawezekana.
Wastani wa kilomita moja tu kutoka Barabara ya Morogoro.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.100,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.