Kiwanja SQM.500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hii nyumba ipo umbali wa kilomita 3 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Imejengwa kisasa.
Vyumba 3 (Masta 1) Pia Ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali