Hii ni nyumba nzuri mpya ambayo ipo
MBEZI BEACH, BAGAMOYO ROAD.
Ina Sakafu 2.
Ipo jirani na Barabara ya Lami.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.600.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.100,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________mchm/zw
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.