Country: Dar es Salaam
Hii nyumba ipo umbali wa kilomita 1.5.
Kutoka Barabara ya Lami ya KINYEREZI/MBEZI.
Imepangiliwa kisasa:
Vyumba 3 ( Masta 1) Sebule, Jiko,
Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Hatua ya ujenzi ipo kwenye MKANDA wa LINTA.
Ukubwa wa Kiwanja ni SQM. 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Hii nyumba ipo umbali wa kilomita 1.5. Kutoka Barabara ya Lami ya KINYEREZI/MBEZI. Imepangiliwa kisasa: Vyumba 3 ( Masta 1) Sebule, Jiko, Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Hatua ya ujenzi ipo kwenye MKANDA wa LINTA. Ukubwa wa Kiwanja ni...
https://advertisingdar.co.tz/ad/pagale-zuri-vyumba-vitatu-3-kinyerezi-songas/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.