Umiliki ni Mkataba wa MAUZIANO.
Eneo ni zuri nyuma kuna slope ndogo ya kawaida.
Huduma za Umeme na Maji zipo jirani.
Njia nzuri hadi Site.
Mtaa unajengeka kwa kasi.
Njia rahisi ni kuingilia MADALE MIKOROSHINI.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________mlty
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.