Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 4 ( Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Huduma ya Umeme ipo na pia kuna Kisima cha Maji.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________r
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.