Eneo ni KWAMKONGO
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ipo jirani sana na Kituo cha Daladala.
Vyumba 3 (Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia.
___________
ANGALIZO:
Malipi ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________rJ
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.