Country: Dar es Salaam
HIi nyumba ipo umbali wa kilomita 3 kutoka Barabara ya Morogoro/Temboni.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.1,500.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Hapa pia kuna nyumba ndogo ya Wafanyakazi/Wageni.
Pamoja na Mabanda ya kufugia Kuku.
Vyumba vyote 4 kila kimoja na Choo chake ndani.
Pia kuna Sebule,
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
HIi nyumba ipo umbali wa kilomita 3 kutoka Barabara ya Morogoro/Temboni. Kiwanja kina ukubwa wa SQM.1,500. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. Hapa pia kuna nyumba ndogo ya Wafanyakazi/Wageni. Pamoja na Mabanda ya kufugia Kuku. Vyumba vyote 4 ki...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-ya-vyumba-vinne4mbezi-kibanda-cha-mkaa/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.