Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ni umbali wa kilomita 4 kutoka Barabara ya Morogoro.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________mpg
Vyumba 3( Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,
Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.