Kiwanja kina ukubwa wa SQM.650.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 4 ( 2 Vyoo ndani) Pia kuna Sebule,Jiko,
Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Parking ipo nsani ya Fensi.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________dOu
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.