Hiki Kowanja kipo njia ya kuelekea FUMBA/FUONI sehemu inaitwa KISAKASAKA.
Kimezunguushiwa Ukuta chote na kuna Geti.
Ni Mtaa wa pili kutoka Barabara kuu.
Bei ni Tshs.130 MILIONI.
_____________
NGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________
Mtaa umejengeka mepangika vyema.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.