Country: Dar es Salaam
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hizi nyumba ZA-KIZAMANI ambazo zipo jirani tu na Barabara ya Lami na ambapo panafikika vizuri kwa Gari.
ZINAHITAJI MABORESHO KIASJ.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________mpg
Hizi ni nyumba 4,
Kila moja inajitegemea katika Kiwanja kimoja.
Nyumba moja Ina jumla ya vyumba vya kulala 4.
Nyumba nyingine 3 kila moja inajitegemea na zina vyumba 2 (Masta 1) kila moja.
Ukihitaji kuzikagua taarifa mapema tafadhali.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Hizi nyumba ZA-KIZAMANI ambazo zipo jirani tu na Barabara ya Lami na ambapo panafikika vizuri kwa Gari. ZINAHITAJI MABORESHO KIASJ. _____________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuin...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-nne-za-pamojaukonga-mombasa/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.