Ni nyumba yenye nafasi ambayo ipo umbali wa kilomita 1 (moja) tu kutoka Barabara ya Morogoro/Kituo cha Mwendokasi.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 2,000.
Umiliki wake ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Jumla kuna vyumba vya kulala vitano (5)
[ Vyumba viwili vina vyoo ndani ]
Vilevile kuna Sebule,
Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Pia kuna FREMU ZA BIASHARA 5,
Na zote zina Wapangaji kwa sasa.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________mpg
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.