Eneo la Mbezi kwa Yusuph
Jirani na Barabara ya Morogoro.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM 700
Hapa panafaa kuendeleza Kibiashara.
_________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10 %
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
__________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.