Hapa unawekeza na unaanza kuvuna matunda ya Kodi.
Wahi kabla hujachelewa.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 720.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Kila apartment moja ina:
Vyumba 2 vya kulala (ambapo Masta ni 1)
Pia kuna Sebule, Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Kila nyumba inajitegemea LUKU na Huduma ya Maji.
Nyumba zina AC na pia Parking ya kutosha yenye paving.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Gharama ya kukkagua ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu
______________duk
Pia kuna Frem/Maduka 3.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.