Ni nyumba ya kisasa safi na YAKUHAMIA.
Vyumba 3 ( 2 vyoo ndani)
Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________
Nyumba ina Tiles,Gypsum, Dirisha za Vioo na Parking pia ipo ndani.
Mtaa mzuri uliotulia na uliojengeka vyema.