Country: Zanzibar Central/South
Hizi ni nyumba mbili za kisasa za kumalizia ujenzi, katika Kiwanja kimoja.
Zimefikia hatua ya Kupaua.
Kila nyumba Inajitegemea na ina Vyumba viwili (2) vya kulala ( Masta 1) Sebule, Jiko-la-Wazi na Choo cha Familia ndani.
UKINUNUA KWA BEI TAJWA UNAZAWADIWA BATI 200 ZA KISASA (MGONGO MPANA) PAMOJA NA GRILL ZA DIRISHA.
MUNGU AKUOE NINI?.
Karo za Maji Taka zimeshachimbwa.
______________
ANGALIZO
Malipo ya Dalali ni 10^
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_______________
Wahi kabla hujawahiwa.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Hizi ni nyumba mbili za kisasa za kumalizia ujenzi, katika Kiwanja kimoja. Zimefikia hatua ya Kupaua. Kila nyumba Inajitegemea na ina Vyumba viwili (2) vya kulala ( Masta 1) Sebule, Jiko-la-Wazi na Choo cha Familia ndani. UKINUNUA KWA BEI TAJWA UNAZ...
https://advertisingdar.co.tz/ad/mapagale-mawili-pamoja-na-zawadishakani-unguja/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.