Nyumba hizi ni za kizamani na zinafuatana lakini kila moja ipo kwenye Kiwanja chake na ndanj ya Fensi yake.
Mmiliki ni mmoja.
ZINAUZWA PAMOJA.
Hazijachoka.
Hapa panafaa kuboresha au kuvunja kabisa ili kupisha Ujenzi wa Jengo kubwa la kisasa lenye nafasi.
Hata kuweka Hoteli panafaa pia.
Ni umbali wa mita chache tu kutoka Barabara ya Lami na jirani na Ofisi za TRa Mwenge.
Ukubwa wa jumla wa Viwanja vyote nj SQM.600.
Zipo HATI mbili na Bei inajumuasha nyumba zote (Yaani Tshs. 450 Milioni zote)
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
______________tb
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.